Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwezi na tarehe km ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge.. sasa yy sijui alitaka niwe na boksa zipi maan kipindi...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Habari wanaBodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
3 Reactions
31 Replies
347 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
6 Reactions
14 Replies
291 Views
Habari za muda huu, Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja). HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️ We are seeking a...
1 Reactions
23 Replies
182 Views
Hujambo ndugu mwana JF. Karibu AcademiazSoft. RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi. Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa...
1 Reactions
9 Replies
82 Views
Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
20 Reactions
179 Replies
4K Views
Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni, kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa. Kama...
0 Reactions
9 Replies
120 Views
Kuna watu tuna nusa kama mbwa. Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo. Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba. Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa...
0 Reactions
2 Replies
9 Views
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
5 Reactions
31 Replies
727 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
26 Reactions
500 Replies
16K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,425
Posts
49,690,876
Back
Top Bottom