Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Habari zenu mimi nikijana wa kitanzania umri wangu 35 sio mlefu wala sio mfupi sio mnene wala sio mwembamba dini yangu ni Muslim naish Dar ni mfanya biashara naitaji mwanamke awe Muslim miaka 20...
Wakuu salama,
Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka.
Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.