Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
6 Reactions
155 Replies
2K Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
17 Reactions
122 Replies
899 Views
Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba. 1. ZITTO KABWE Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi...
1 Reactions
2 Replies
37 Views
Hili daraja linapatikana mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea linatenganisha kata ya msamala na mshangano.Bampa za pembeni zimekatwa kila uapande mita kama 15 Tazama picha.Pia hapa daraja hili...
2 Reactions
18 Replies
314 Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
16 Reactions
66 Replies
2K Views
CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY MAY 25, 2024 Video below shows Chinese State...
1 Reactions
7 Replies
184 Views
Msafara wa Raisi wa Iran ulikuwa na Helikopta tatu moja ikiongoza msafara ikiwa na walinzi na Maafisa usalama wa Irani na Maafisa wengine wa serikali ya pili katikati ilikuwa imembeba Raisi wa...
1 Reactions
16 Replies
403 Views
Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA...
3 Reactions
18 Replies
205 Views
Madai ya rafikiyangu msabato kuwa Kanisa Katoliki wanatunza akiba ya Fedha kutekeleza sheria ya jumapili yana ukweli? Wadau hamjamboni nyote? Ni Madai ya rafiki yangu mmoja wa kisabato kuhusu...
4 Reactions
20 Replies
313 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,415
Posts
49,716,197
Back
Top Bottom