Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni,kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa.Kama...
I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na...
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu
Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas...
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote
Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Ndugu zangu watanzania,
Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu!
Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka
https://x.com/i/status/1793231455981805944
na baada ya kuwa na madaraka...
Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂
Ndomana nime kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.