Mwenyekiti wa BAVICHA John Pambalu asema yuko upande wa Lissu kupinga fedha chafu zilizoingizwa na mahasimu kuvuruga Uchaguzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,423
147,106
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu.

Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lissu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema

Source: Nipashe Digital

My take: Tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
 
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema

Source: Nipashe Digital

My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini 😂😂
hujaolewa na chadema bado? au tayari kwahiyo unapata inside stories :D :D :D :D :D :D
 
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema

Source: Nipashe Digital

My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini 😂😂
Haka ka pambalu kameanza kuyakoroga. Shauri yake.
 
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema

Source: Nipashe Digital

My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini 😂😂
anawazungumziaje wale wana chadema wanao goma na kupinga kuchangia mchango gari la lisu aliloomba achangiwe?
 
Lisu alisema kuwa I am alive because of Mbowe, siwezi kupingana na Mbowe kwa lolote. Akichukua fomu naacha! Are you informed of that?
mbona anaulizauliza fedha za join the chain zilikua ngapi na zimetumikaje kama kweli anamuamini na hawezi kupingana nae? :spandauB:
 
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema

Source: Nipashe Digital

My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini 😂😂
Kwa wasio mjua bwana mdogo comrade mzalendo kweli kweli pambalu
Picha:
img_1_1716048471839_1.jpg
 
Back
Top Bottom