Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati.
Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna...
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote
Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati...
Nyie Watanzania wenzangu ambao kutwa napata taarifa za kujiua kwenu kwa kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na sisi (hasa mimi GENTAMYCINE) niwapeni Historia yangu kubwa ya mapito makubwa...
Habari Wakuu,
Nina Matank ya Maji 15 nauza, ni haya meupe yanayokujaga na bidhaa za viwandani kisha baada ya kushusha mzigo yanabadilishwa kutumika kama ma-tenk ya kuhifadhia au kusafirishia maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.