Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
12 Reactions
86 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa. Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
2 Reactions
22 Replies
737 Views
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine? === Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
78 Reactions
13K Replies
3M Views
Urafiki wa Azam na Simba ni mkubwa kuzidi watu wanavyodhani. Azam yupo tayari ajidhuru ili Simba anufaike. Azam atajipigisha mechi 1 hususan huko Geita na huku mashoga wao Simba wakishinda na...
0 Reactions
2 Replies
38 Views
Kwa Hali hii,tutarajie nini???? Tumepigwa na kitu kizito! Misri wanakuja nchini kuwekeza Kwa Kasi kubwa. Hii Ke tunaowaamini,tunauzwa mchana peupe.
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland...
9 Reactions
32 Replies
638 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
132K Views
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas...
0 Reactions
3 Replies
21 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,281
Posts
49,686,715
Back
Top Bottom