Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiwaacha JWTZ, ni taasisi ipi ya uma raia wa kawaida ana imani kuwa atatendewa haki bila kuinunua? 1. Polisi? Wengine wanasema kuingia kituo cha Polisi ni bure lakini kutoka ni hela 2...
0 Reactions
3 Replies
63 Views
Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni! Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona...
3 Reactions
16 Replies
551 Views
Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu . Au...
6 Reactions
23 Replies
160 Views
Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na...
0 Reactions
7 Replies
202 Views
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia ...
25 Reactions
55 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu.. Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha. Wengi wanaenda kutafuta...
2 Reactions
7 Replies
188 Views
Kipindi kile nipo Form One nilikuaga nikipiga nyeto naweza unganisha bao mbili mfululizo. Yaani nikirusha wazungu, mashine hailali naweza endelea hadi narusha tena. Lakin tangu nivuke miaka 18...
6 Reactions
76 Replies
8K Views
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu! Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka https://x.com/i/status/1793231455981805944 na baada ya kuwa na madaraka...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe...
7 Reactions
6 Replies
7 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,269
Posts
49,686,384
Back
Top Bottom