Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 pekee Duniani zenye reli ndefu zaidi za SGR Aidha Bwawa la Mwalimu Nyerere linaifanya Tanzania Kuwa nchi yenye uwezo wa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwenu wajuvi wa Sheria! Kwenye clip hapo chini ni malalamiko ya mtu anayedai kutapeliwa. Tukio lilitokea Arusha. Mlalamikaji aliuziwa shamba la ekari 2 kwa milioni hamsini na nne. Lakini...
0 Reactions
5 Replies
46 Views
Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
6 Reactions
175 Replies
2K Views
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe. Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
6 Reactions
31 Replies
667 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
138 Reactions
156K Replies
8M Views
Enyi wazazi acheni kuwaforce vijana wenu wajiongeze wakajitegemee ilihali hamjawaandalia mazingira ya wao kujitegemea zama zimebadilika sio kama kipindi cha giza kule. Wapeni hela au mitaji...
2 Reactions
20 Replies
318 Views
Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako. Airedale Terrier Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili...
1 Reactions
30 Replies
321 Views
Jamani kwema humu ndani? Leo nimeona niliongelee Bunge letu pamoja na madudu yake. Yaani Bunge la kipindi hiki ni bunge la ajabu kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu. Wabunge badala ya...
0 Reactions
23 Replies
515 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,201
Posts
49,684,755
Back
Top Bottom