Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu gharama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Shirika la Uchunguzi wa Maoni la Marekani Gallup umebaini kuwa umaarufu wa Marekani umeshuka barani Afrika, huku umaarufu wa China ukiongezeka. Utafiti huo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
12 Reactions
273 Replies
14K Views
Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama...
12 Reactions
44 Replies
915 Views
Swali hapo liko wazi Kabisa Hakunaga kifungu cha katiba kinachoruhusu Bunge kuvunjwa na kuitishwa Uchaguzi Mkuu wa wabunge? Nawasilisha Mlale Unono😂😂
0 Reactions
16 Replies
227 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa...
1 Reactions
2 Replies
81 Views
Habari Wakuu! Sio kila mtu kwake mtaji ni tatizo, wengi wetu tuna pesa ndefu kiasi tu kwenye Acc, (20M+50M). Personal, nilipanga kuanza kuwekeza kwenye biashara kwa Capital ya 30M, ambapo...
26 Reactions
100 Replies
17K Views
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta. Sasa kafariki...
11 Reactions
58 Replies
789 Views
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au...
3 Reactions
35 Replies
815 Views
Na. David Kafulila NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
36 Reactions
213 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,176
Posts
49,683,867
Back
Top Bottom