Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito. Kipindi...
3 Reactions
12 Replies
57 Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
3 Reactions
66 Replies
2K Views
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya rais wa Iran siku chache zilizopita amepiga risasi na kufariki. "huku mtu aliyempiga risasi...
7 Reactions
52 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni...
12 Reactions
120 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa kimara Temboni Bei milioni 30 tu Vyumba vitatu kimoja master Sebule jiko na choo cha public Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20 Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu ...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
A
Kumekuwa na tabia ya utapeli wa kupangwa walengwa wakubwa wakiwa ni Mawakala wa huduma za kifedha haswa haswa wale ambao ni wapya katika eneo flani. Limetokea tukio maeneo ya Sinza Mapambano...
1 Reactions
13 Replies
280 Views
Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
6 Reactions
182 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,207
Posts
49,684,920
Back
Top Bottom