DOKEZO Wizi wa Mtandao kwa Mawakala umekithiri. Wezi sasa hawana uoga wa kufanya utapeli mbele ya CCTV. Polisi wanawalinda?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na tabia ya utapeli wa kupangwa walengwa wakubwa wakiwa ni Mawakala wa huduma za kifedha haswa haswa wale ambao ni wapya katika eneo flani.

Limetokea tukio maeneo ya Sinza Mapambano ambalo ni muendelezo wa matukio ya utapeli, na cha kusikitisha licha ya kuwa na ushahidi wa picha na video za CCTV Camera, Polisi wanasema ni ngumu kuwakamata waharifu sababu ndo michezo yao.

Inasikitisha sana, kwamba licha ya ufumbuzi mkubwa wa teknolojia, Tanzania bado hatuna digital database ya waharifu wa namna hii na namna bora ya upelelezi na kuwatia mbaroni.

Watu wanarudisha nyuma sana kimaendeleo ya biashara.

Tukio tajwa linahusisha zaidi ya watu 3 ambao wote lengo lao ni kutapeli mawakala wa pesa kwa kujifanya wateja kumbe lengo ni kuwazubaisha mawakala na kisha kutoa pesa kwa njia ya kufoward message na sio kutoa pesa kwa njia halali kwa no ya wakala.

Hawa jamaa inaonekana wanazo taarifa za namba zote za mawakala wapya.

IMG-20240521-WA0113.jpg
IMG-20240521-WA0114(1).jpg
 
Makosa makubwa wanayofanya mawakala:

Kwanza kutoa simu ya wakala na kumpa mteja(tapeli atahitaji kujua namba ya simu, atasave majina kama M-pesa, Airttel Money)
Pili, kukosekana kwa ushahidi wa Muamala, hakuna kumbukumbu za kuweka/kutoa, kiasi na majina ya mteja(hapa huwezi pata msaada polisi, wala kampuni za simu).

Matapeli wana mbinu nyingi, njia pekee ya kuwazuia ni wakala kuwa na ufahamu na maarifa wa kumsoma mteja wako.
na kuto futa maelekezo yoyote unayopigiwa kwenye simu ya kazi au ya kwako. Mfano mtu anatumia tigo, anajitambulisha anatoka huduma kwa wateja vodacom, na bado unaendelea kumsikiliza!!

Kuna ofisi nyingine, bila kitambulisho hupewi huduma.Na hii ndio salama yao

Mawakala wanawake wanako kwenye nafasi nzuri ya kutapeliwa, tapeli anaanza kwa gia ya kumtongoza. Kisha wanafunguka kila kitu kwa wapenzi-Tapeli, mtaji uliopo dukani, nani mmiliki wa ofisi, kazi yake anayofanya, namba za simu nk nk.
 
Mkimkamata mwizi mpigeni haswa na kumtia dole la kati.
Wangese hao wanarudisha sana watu nyuma kimaendeleo.
Wakati wa kuadhibu, unamtia mabanzi, akazidiwa mpaka chini halafu uonekane unamtia madole, jamii si itakutenga?

Utaonekana wewe ni mende uliyechangamka😁!

Sema'ivii? Huyo mwizi au wezi wa hivyo wanatakiwa kupotezwa kabisa, siyo kuishia kumtia tu madole.

Umtie madole mitaani unaenda kunawia wapi, unayo sanitizer?
 
Serikali hii badala ya kuwekeza kwenye Teknolojia ya ulinzi inanunua majaketi ya Kamera kwa Trafiki kwa sababu ya kuzuia virushwa vidogovidogo maarufu kama Hela ya kubrashi viatu.

Kwa sasa wizi wa mitandao ni mkubwa sana . Chaajabu mpaka sasa bado polisi hawana teknolojia ya a Moja Kwa Moja ya kuwabaini wahusika mpaka kupitia TCRA. Lakini pia tulitegemea huduma za kuwapata wezi wa mitandao iwafikie wanchi kwa haraka lakini inageuka kuwa Dili za watu wachache kuhodhi idara hiyo.
Lakini pia Tulitegemea Mitaa ya Miji yote ya Tanganyika nayo ifungwe kamera ili kuwabaini wahalifu na uhalifu ikiwemo makosa ya usalama barabarani badala yake wananua kamera za kuwavalisha trafiki TU jambo ambalo ni la kudhibidi makosa ambayo sio changamoto kubwa kivile ukilinganisha na uhalifu kwenye maeneo mbalimbali ambayo hayatokani na ridhaa ya mtu
 
Haina haja ya kunawa unalamba kabisa.
Hujui sisi wengine tunapenda harufu ya kinyesi??
 
Back
Top Bottom