Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki...
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.
Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state...
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu...
Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.
Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.
Tangu mama ameshika nchi...
Jamani kwema humu ndani?
Leo nimeona niliongelee Bunge letu pamoja na madudu yake.
Yaani Bunge la kipindi hiki ni bunge la ajabu kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.
Wabunge badala ya...
Habari wanajf
Tunauza karanga jumla na lejaleja, pia tunapokea oda na kusafirisha mikoa yote ya Tanzania tuna package tofauti tofauti na ujazo pia
Tupo mwanza, kwa mawasiliano zaidi
0781281011
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.