Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kumekua na Tabia ya utapeli wa kupangwa walengwa wakubwa wakiwa ni Mawakala wa huduma za kifedha haswa haswa wale ambao ni wapya katika eneo flani, limetokea tukio maeneo ya Sinza Mapambano ambalo...
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya rais wa Iran siku chache zilizopita amepiga risasi na kufariki.
"huku mtu aliyempiga risasi...
Kila nikiangalia yanayoendelea Uturuki naogofywa na hii dunia japo yenyewe ni majanga ya asili, watu 16,000 mpaka sasa wamefariki. Nimejifunza pia duniani janga lililoondoka na watu wengi kwa muda...
Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika?
Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza...
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game.
Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole...
Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.