Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu...
9 Reactions
95 Replies
3K Views
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi. 1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii...
23 Reactions
413 Replies
17K Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
10 Reactions
143 Replies
1K Views
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J -...
6 Reactions
55 Replies
923 Views
TFF hebu oneni aibu basi, inakuwaje Tuzo za ligi ya msimu huu zikafanyike mwanzo wa msimu mwingine? Hili linashangaza sana maana mmeamua kuvunja hata kanuni yenu wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11...
0 Reactions
3 Replies
44 Views
GTs, Kwa siku kadhaa member mwenzetu aka kigagula wa wachawi hapa JF ndugu yetu Mshana Jr imekuwa nadra sana kumuona akichangia au kuonekana online jukwaani. Naleta ombi kwenu tumchangie hela...
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni. Kingereza cha wakili huyo ni sawa na...
13 Reactions
42 Replies
1K Views
"Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile." Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video...
18 Reactions
54 Replies
5K Views
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "UPENDO" ila...
6 Reactions
61 Replies
1K Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
138 Reactions
156K Replies
8M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,277
Posts
49,741,687
Back
Top Bottom