Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla? 1. Immigration - ili upate passport...
6 Reactions
42 Replies
860 Views
Wadau hamjamboni nyote? Msemaji yanga kazidisha utani Soma alichoandika ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐Ÿ“ ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š. "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ง๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š ๐Ÿ“ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐›๐จ๐ฏ๐ฎ" ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐ง๐ฃ๐ž & ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ข"...
2 Reactions
1 Replies
2 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako! Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa. Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu...
1 Reactions
10 Replies
143 Views
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea...
3 Reactions
138 Replies
10K Views
Wale mnaompiga vita Makonda mnapoteza muda. Makonda ana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu. Ndio maana huwezi mkuta Makonda anafanya uchawa. Siku zote anachapa kazi na kuungwa mkono kila...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo majira ya saa kumi na nusu kumetokea vurugu hapa CCM mkoani Arusha, baada ya vijana kumtoa Mary Shitanda kwenye mkutano wekiimba hatukutaki ondoka zako. Baada ya kuona watu wanazidi kumzonga...
5 Reactions
374 Replies
35K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
7 Reactions
48 Replies
705 Views
Tunakumbusha sio kwa ubaya. Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama...
15 Reactions
56 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu naomba ushauri, Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu. Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa...
8 Reactions
134 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,607
Posts
49,722,715
Back
Top Bottom