Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Nimeshangazwa sana na mtu ameaminiwa kuwa mtangazaji na mchambuzi wa mpira lakini hatumii vizuri akili yake kufanya kazi yake.
Amelaumu mashabiki wa Simba kuwa hawana msaada kwa timu.
Hawanunui...
Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka...
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
YEHOVA kama...
Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya
CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i
Imenisaidia...
Habari Tanzania,
Kama barua iliyoandikwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Mafunzo & Uenezi Cde Amos Gabriel Makalla inavyojieleza.
Tuendelee kuiombea CCM kwani ni hakika bila CCM...
Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri ila sina mtaji? Haya ni maswali ambayo wengi wetu tunajiuliza sana kwenye harakati zetu za kila siku kwenye kutafuta maisha. Kuna njia ambazo tunaweza...
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.
Akiwa anafafanua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.