Mary Chatanda huyu mwenyekiti wa UWT kitendo cha kutoka hadharani kutetea wezi wazembe na wanadhirifu wa mali za umma hafu tukae tunachekeana chekeana tu bila sababu maalumu it's a big no...
Wakuu,
Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake.
Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Je, unafahamu kama RC Meck Sadiki ni Mtumishi na kiongozi Mwadilifu katika Chama na Serikali?
Utumishi CCM
A. Katibu Wa Chama Wilaya;
1. Liwale
2. Manyoni
3. Iramba
B. Katibu Wa Chama Mkoa;
1...
iko hivi mimi mchaga mgumu sana kwa cash. aisee leo nimekutana na pisi kali sana. sana sana. mzuri sana. kakamilika, (simjui)
picha linaanza.
moyo ukapata palpation kwanza kama cardiac urgency...
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
Wakuu,
Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na...
Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika
Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa...
Mzuka Wanajamvi.
Nimesikitika sana Marekani CIA kutaka kuipindua Serikali halali ya kidemokrasia ya Congo DRC.
Kumbe uzushi tunasikiaga hawa CIA wanafanya Africa kumbe ni kweli.
Tunawateteaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.