Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa...
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea...
Kwa wale mliofika japani au tusiende mbali sana miaka ya nyuma kabla zimbabwe ijapotea kisiasa ilikuwa nchi bora sana kwa wazazi waliotembea kuwapeleka watoto wao.
Nitarudi nchi ya japani sababu...
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana
Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Unapokuwa kiongozi unayemtumia vyombo vya habari kudhalilisha watumishi wa umma unakuwa umemdhalilisha hata aliyekuteua.
Kinachotokea Arusha ni kumkwamisha Mhe. Rais, kwa sasa watumishi walio...
Hellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.