Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
21 Reactions
207 Replies
8K Views
Habari Zenu Ndugu Zangu wa Jamii Forums, Mimi Ni Kijana Mwenye Umri wa Miaka 28 Naishi Chanika Dar es salaam, Ninachangamoto Ya Kutafuta Ajira Ndugu zangu Elimu Yangu Ni Kidato Cha Nne Ngazi Ya...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa, nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio lazima...
16 Reactions
130 Replies
2K Views
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa...
7 Reactions
79 Replies
1K Views
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri. Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
24 Reactions
100 Replies
1K Views
Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
11 Reactions
78 Replies
851 Views
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
9 Reactions
36 Replies
752 Views
Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo. Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Ni mume wangu tuna watoto Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini? Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
22 Reactions
106 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,064
Posts
49,705,048
Back
Top Bottom