Karibu JSL COURIER kwa huduma bora ya kuhama na kuhamisha vitu kutoka mtaa A kwenda mtaa B na kutoka mkoa A kwenda mkoa B.
Huduma zetu ni nzuri, nafuu na uaminifu ni mkubwa mno.
Usisumbuke tena...
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
Wadau njooni hapa tufarijiane.
Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda...
Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki.
Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya...
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
Habari za Leo wanajforum?
Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na...
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
Wakuu nisiwachoshe sana ipo hivi.
Mimi ni kijana wa miaka 25 katika ukuaji wangu sikuwahi sana kujihusisha na masuala mahusiano yani kufanya kwangu mapenzi huwa ni nadra.
Kumaliza mwaka mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.