Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa 😂 Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimekutana na rafiki yangu wa kitambo kwa ghafula. Ni mahala ambapo hata ndotoni hakuna kati yetu ambaye angeamini kama tungekutana baada ya miaka 13 ya 'tusitambuane'. Ilikuwa miaka ya ujana...
1 Reactions
3 Replies
68 Views
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi. Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala...
3 Reactions
14 Replies
157 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
134K Views
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
170 Reactions
9K Replies
1M Views
Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
0 Reactions
11 Replies
159 Views
Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo...
0 Reactions
18 Replies
366 Views
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni...
12 Reactions
183 Replies
3K Views
Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
13 Reactions
153 Replies
2K Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
19 Reactions
159 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,894
Posts
49,701,784
Back
Top Bottom