Mzuka wanajamvi.
Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty.
Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika...
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU).
BY ISSAI SINGANO .
(Singano jr).
DIBAJI
Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
Habari wanajukwaa
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo
Kila siku tunaskia mara dadapoa...
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu...
Salaam, Shalom!!
Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.