Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu...
3 Reactions
161 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya...
3 Reactions
33 Replies
583 Views
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili... Kuweka kumbukumbu sawa, Mimi ni mmoja wa vijana wa kitanzania niliyesoma katika shule za Serikali kuanzia elimu ya msingi, sekondari mpaka chuo, hivyo mawazo...
1 Reactions
6 Replies
117 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
1K Replies
27K Views
Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na...
1 Reactions
7 Replies
163 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024. Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili? Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
6 Reactions
66 Replies
790 Views
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!! Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi...
53 Reactions
660 Replies
130K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,672
Posts
49,696,221
Back
Top Bottom