Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Haijaelezwa sababu au vigezo vilivyotumika ila inajulikana kwamba zaidi ya 75% ya Watumishi wa Serikali wanapokea Mishahara chini ya Laki 5.Sekta binafsi Hali ni mbaya zaidi. Kwa mazingira haya...
0 Reactions
6 Replies
103 Views
Nakumbuka JJ Mnyika na Jafo walipokuwa Vijana walipigania sana Uundwaji wa Baraza la Vijana la Taifa Naomba Vijana wa Leo ifufueni Hoja ya kuwa na Baraza lenu lisilo na mrengo wa itikadi za Vyama...
3 Reactions
19 Replies
131 Views
Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
18 Reactions
87 Replies
3K Views
WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce...
2 Reactions
1 Replies
218 Views
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
4 Reactions
36 Replies
579 Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
5 Reactions
59 Replies
790 Views
Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii? Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu. Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya...
0 Reactions
9 Replies
140 Views
Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
3 Reactions
11 Replies
230 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,672
Posts
49,696,221
Back
Top Bottom