Ukiangalia supply and demand ya import and exports, utagundua wakati huu wa awamu ya 6 ambayo imeboresha mazingira ya uwekezaji, kama nchi tuna demand kubwa ya bidhaa kutoka nje.
Hivyo gharama za...
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awalia tathimini ilifanyika...
1. Huwezi tu kusema 'hapana' kwa mtu yeyote bila kujisikia hatia. Unajali sana na unapenda kupita kiasi.
2.Unalia ukiwa peke yako lakini haumwambii mtu kwa sababu unaogopa watu watakufikiriaje...
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umaraya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.