Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka wanajamvi. Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty. Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika...
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Nakumbuka JJ Mnyika na Jafo walipokuwa Vijana walipigania sana Uundwaji wa Baraza la Vijana la Taifa Naomba Vijana wa Leo ifufueni Hoja ya kuwa na Baraza lenu lisilo na mrengo wa itikadi za Vyama...
3 Reactions
20 Replies
139 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara...
1 Reactions
1 Replies
75 Views
Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
18 Reactions
90 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
6 Reactions
71 Replies
970 Views
Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya...
0 Reactions
15 Replies
159 Views
TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa...
13 Reactions
41 Replies
5K Views
Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k Kama...
0 Reactions
6 Replies
137 Views
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
7 Reactions
40 Replies
776 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,675
Posts
49,696,284
Back
Top Bottom