Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni mume wangu tuna watoto Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini? Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
18 Reactions
91 Replies
2K Views
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au...
4 Reactions
37 Replies
895 Views
Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
11 Reactions
138 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin? Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin? Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa...
3 Reactions
27 Replies
607 Views
Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza...
0 Reactions
9 Replies
146 Views
⚠️⚠️Je unatafuta vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Laptop,Desktop,Tablet au Simu Yako?⚠️⚠️📌📌 ☑️Laptop Adapter ( Laptop & Macbook) ☑️Ram ya Laptop na Desktop ( DDR2,DDR3,DDR4 & DDR5) ☑️Laptop &...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu wa sanaa na burudani habari! Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila...
1 Reactions
3 Replies
7 Views
Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO. Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri...
1 Reactions
8 Replies
188 Views
Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini...
187 Reactions
2K Replies
466K Views
Habari wanajukwaa Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo Kila siku tunaskia mara dadapoa...
9 Reactions
126 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,846
Posts
49,700,609
Back
Top Bottom