Sisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana.
Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine...
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
Kuna video ya CCTV imesambaa wiki hii ya mwaka 2016 ambapo Sean Combs, Diddy a.k.a Msomali anaonekana akimtandika malaya Cassie kama mbwa mwizi hotel aliyokuwa anammega.
Iko hivi wakuu na hili...
Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi.
Moja kwa moja kwenye mada
Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake ! Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu!! Kila mahali wanataka huruma !! Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo...
Kiufupi Kwa Sasa tumefika mahala ambapo dizi hizi tulizoletewa zimekuwa chambo ya kuwapumbaza watu wenye akili ndogo na kuwafanya mafukara.
Mda umefika Sasa zipigwe marufuku Ili watu wajikite...
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.