Kwa Hiki Kilichotokea Ghana,Napendekeza Kupiga Marufuku Dini za Mzungu na Mwarabu Hapa Afrika.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,576
Kiufupi Kwa Sasa tumefika mahala ambapo dizi hizi tulizoletewa zimekuwa chambo ya kuwapumbaza watu wenye akili ndogo na kuwafanya mafukara.

Mda umefika Sasa zipigwe marufuku Ili watu wajikite kwenye kazi na mila za makabila Yao.

Yaani kwamba huko Ghana Pastor amewataka Waumini wake wa Kike kuvua pants zao(Vyupi) na kuanza kuwanyoa pubic hair(Mavuzi) Kwa kile kinachodaiwa kimuwezesha roho mtakatifu wao afanye kazi yake vyema 😁😁

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1791797163644604793?t=8nsAcOHky_OGBBUGkgBKcw&s=19

My Take
Dini zenu hizo ni chambo Cha kunasa wapumbavu na ndio maana hakuna anseweza kuja hapa kuthibitisha zimemsadia nini zaidi ya Kumfanya punguani.
Screenshot_20240517-214855.jpg
 
Siku Mke wangu aanze kwenda kusali kwenye hayo Makanisa, ndiyo itakuwa mwisho wa mahusiano yetu na yeye

You can't be fool to that extent 🙌
Tofauti ya hayo ya kilokole na hayo mengine unayodhani Yako sawa ni Kwa sababu yenyewe yalianza zamani yameweka rasmi mifumo Yao ya kitapeli na unyonyaji.

Waulize Walio fall apart na Roma
 
Kiufupi Kwa Sasa tumefika mahala ambapo dizi hizi tulizoletewa zimekuwa chambo ya kuwapumbaza watu wenye akili ndogo na kuwafanya mafukara.

Mda umefika Sasa zipigwe marufuku Ili watu wajikite kwenye kazi na mila za makabila Yao.

Yaani kwamba huko Ghana Pastor amewataka Waumini wake wa Kike kuvua pants zao(Vyupi) na kuanza kuwanyoa pubic hair(Mavuzi) Kwa kile kinachodaiwa kimuwezesha roho mtakatifu wao afanye kazi yake vyema 😁😁

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1791797163644604793?t=8nsAcOHky_OGBBUGkgBKcw&s=19

My Take
Dini zenu hizo ni chambo Cha kunasa wapumbavu na ndio maana hakuna anseweza kuja hapa kuthibitisha zimemsadia nini zaidi ya Kumfanya punguani.
View attachment 2993194

View: https://twitter.com/Africa_Archives/status/1791778404565406199?t=2wcigCnjZB7HMCv1nW2fcw&s=19
 
Wajinga bado wapo wengi sana. Hata nje ya makanisa bado idadi ya wajinga ni kubwa. Kwa mfano hapa nchini kuna kundi kubwa la wajinga linachanga kununua gari V8 mpya kwa ajili ya makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani huku wakijua huyo kiongozi anawesa kujinunulia mwenyewe hilo gari au kupitia ruzuku za chama chao.
 
Anyway unaweza kutupia lawama kwa hizi dini zinazoitwa za wazungu na warabu lakini hapa shida sio dini hii ni nguvu ya ziada

Kuna watu watasema ni ujinga ndio sababu lakini kama mtu anajua hawa wajomba hii nguvu wanatoa wapi unaweza usiwalaumu ata hao mabinti

Hawa watu wana nguvu ya ziada na sio dini bali hutumia dini kufanya hayo mambo.Ndio turudi kwenye tamaduni zetu and the so called african religion(worshiping trees and stuff).What if hiyo nguvu huyo pastor wako kaipata huko kwa mababu?.Dunia ina mengi ndugu,shukuru tu kwamba unaishi sema ukijua kidogo michezo ya hapa duniani unaweza omba ata ufe tu maana ni hatari tupu.Ogopa binadamu siku zote
 
Dini na injili ndio Zinaenezwa hivyo 😂😂

Waliowaletea wao walishaachana nazo 😆😆
 
Back
Top Bottom