Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi.
Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500.
Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni...
Nimeagizwa niwaletee huu ujumbe,😅😅
Eti uko kwenye mahusiano? Una mpenzi?
Kama hana Pete kidolen huyo ni single!
Unatakiwa kuuliza umeolewa? Una mume?
Majibu yakiwa ndiyo basi achana naye...
Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka.
Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya...
QURAN.
Allah alichagua manabii wengi kutokea ndani ya wayahudi akiwemo Musa licha ya wayahudi kuwaua mara kadhaa ila Allah alipenda wawe wayahudi
Allah aliwaokoa utumwani wakiwa misri, Farao...
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.