Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai.
Akizungumza...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Habari wakuu
Nina uhitaji wa kwenda Mwanza Nyumban...ila siiimudu gharama ya basi...naomba kwa anayetoka Dar na kwenda Mwanza endapo kutakuwa na siti iliyowazi katika usafiri wake anisaidie...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga.
Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya...
Leo Mei 21, 2024, JKT Tanzania itacheza mchezo wake dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni.
KIla timu inapambana kutetea nafasi yake lakini zaidi Azam wakitafuta kusalia...
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.