Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili...
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.
Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amewataka Wananchi kumlinganisha Robot Eunice wa bungeni na Robot wake aitwaye Chloe ambaye Kazi yake ni kumkaribisha
Robot wa Chadema or...
Tanzania imetajwa kama nchi ya tatu ambako wafanyakazi wake wana stress za kufa mtu.
Hii ni kwa mujibu wa taasisi inayojihusisha na takwimu mbali mbali ya Gallup ya Kimarekani...
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa watu wasio elewa wataona ni...
Watanzania hasa wa Jiji la Dar wameonesha kulalamika hatua ya Wachina kuamua kufanya biashara za Uchuuzi Badala ya Kuwa Wawekezaji Kama Vibali vya ukaazi walivyoomba.
Wachina wameonekana maeneo...
Kuna mshkaji wangu tunafanya naye kazi jana amekuja analalamika kuwa wakati akijisaidia haja kubwa anatokwa na damu. Sasa ameanza kupata wasiwasi kuwa anaweza kuwa na kansa ya njia ya haja kubwa...
AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA
Lupweko said:
Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.