Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .
Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.
Mwanamke akikupenda...
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu
2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo
3) Kibaolojia kuna...
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
Amri ya Pili katika Amri Kumi:
Kutoka 20:4-5: "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.