Habari za mwisho wa weekend wanajamii.
Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe.
Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali
Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia ...
Aaah yamenifika hapa!
Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone.
Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa...
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
Habari wadau. Watumishi tuliohama mwaka Jana mwezi wa kumi na kupata vibali hatujahamishiwa taarifa zetu za mshahara mpaka Leo, Hali ambayo imepelekea kushindwa kuingia katika mfumo wa upimaji wa...
Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
Ndugu zangu nataka niwambie ukweli kuwa mimi nina ujuzi kubwa juu ya mitandao ya Kijamii na ni mzoefu mkubwa wa mitandao ya kijamii na mara kadhaa nimekuwa nikisaidia badhi ya kampuni kudesign...
Habari Wana JF leo Kama Kawaida Mimi mtu wa Kufuatilia Historia Mbali mbali Twende na Mimi.
KIFO CHA ADOLF HITLER, TAREHE 30/04/1945:
Adolf Schickelgruber, A.K.A Hitler alikuwa mzaliwa wa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.