Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
97 Reactions
607 Replies
20K Views
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho. Hadi sasa bado haijajulikana kwanini...
0 Reactions
11 Replies
201 Views
Salaam, Shalom!! Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na...
1 Reactions
30 Replies
428 Views
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
8 Reactions
26 Replies
625 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Natengeneza furniture material block board /melamine board Nakaribsha mbia
0 Reactions
5 Replies
141 Views
1. Dk. Ben Carson alisema, "Nilitatizika kimasomo katika shule yote ya msingi lakini nikawa daktari bingwa wa upasuaji wa neva duniani mwaka wa 1987." SOMO: Kupambana ni ishara kwamba uko kwenye...
6 Reactions
9 Replies
58 Views
Habarini za leo wakuu tafadhali kwa wenyeji wa maeneo ya RUHUWIKO(songea) naomba mjitokeze unisaidie kuna ndugu yangu namtafuta sana hap
5 Reactions
31 Replies
252 Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
18 Reactions
299 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,508
Posts
49,633,387
Back
Top Bottom