Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu ndugu zangu. Hapa ninapoishi kuna nyuki wapo ndani ya ceiling board. Nimeshawahi kupuliza dawa ya Rungu na kuwaua wote. Lakini kila bàada ya muda mfupi mfano mwezi wanahamia nyuki...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kichwa cha thread kinajieleza Ninawatakieni nyote Heri ya Sikukuu ya Pentekoste Ukaja Upepo kutoka Juu Mbinguni na Wote wakajazwa na Roho Mtakafu, haleluya! Tundu Antipas Lisu anaonekana...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
17 Reactions
98 Replies
1K Views
Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya...
4 Reactions
33 Replies
491 Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
25 Reactions
68 Replies
674 Views
Kwa anaemjua anisaidie namba yake nmepata dharura 0678096545
0 Reactions
3 Replies
44 Views
Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii. Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda...
18 Reactions
69 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,038
Posts
49,649,735
Back
Top Bottom