Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
On point, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la vijana waliohitimu mafunzo ya kijeshi na kukosa ajira, hivi ikitokea Hawa vijana wamebadili mawazo au wameshawishiwa na kikundi Cha...
Wakuu kwema?
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Dunia imejawa na siri na waaofanikiwa kufahamu hawana Nia ya dhati kuhakikisha umma unaamka. Watu wengi leo wanaangamia Kwa kukosa maarifa. Kinachouma zaidi maarifa yanayotolewa ni "exoteric"...
Tanzania imetajwa kama nchi ya tatu ambako wafanyakazi wake wana stress za kufa mtu.
Hii ni kwa mujibu wa taasisi inayojihusisha na takwimu mbali mbali ya Gallup ya Kimarekani...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.