1. Kwamba huduma zenu ni kwa na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima, ila...
Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa, nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio lazima...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!.
Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
Habari JF,
Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania...
Kinjekitile Ngwale aliwaaminisha watu wake kuwa risasi za askari wa kijerumani zitageuka maji kwenye vita Ile ya majimaji. Hii iliwafanya watu wengi kujiunga na vita Ile, lakini kusema Kweli...
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi.
Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
Mpox ama monkey pox. Ni homa inayotokana na nyani.
Inasemekana hadi sasa walioathirika ni 19,919 huku waliokufa 975 huko Congo.
Dalili zake upele, homa, mgongo kuuma, kukosa nguvu, kichwa kuuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.