Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom! Nimehuzunika sana kutokana na kauli ya Ndugu TUNDU Lissu alipokuwa akikabidhiwa gari alilopata nalo masaibu Yale mazito. TUNDU Lisu anadai kuwa, atalichukua gari ile, Kisha...
5 Reactions
41 Replies
473 Views
Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani kwenu hapo hii sio miaka ile mlikua mnapata msaada kisa dini au undugu. Hawa maskini wa Syria wanalazimika kurudi kwao...
3 Reactions
9 Replies
229 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
6 Reactions
37 Replies
632 Views
Aisee Hali kwa Vijana wa kiume inazidi kuwa Tete kufuatia Utafiti kuonesha kwamba matukio ya kujiua kwao yanazidi kuongezeka huku Hali hii ikihusishwa na msongo wa mawazo unaopelekea Magonjwa ya...
0 Reactions
13 Replies
166 Views
Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi...
0 Reactions
4 Replies
196 Views
Yele yanayo tokea Kilimanjaro Airport na kule Ngorongoro ni trela tu,full Move inakuja na kuna kulia na kuswaga meno mwaka 2026. Kinacho ngojwa kwa sasa ni uchaguzi upite kwanza kabla ya move...
0 Reactions
6 Replies
21 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,Tumieni mchango wa kumnunulia Lisu Gari mpyaa Kali. https://twitter.com/MwananchiNews/status/1791531809508888587?t=sUVf3wsCa_wqOva_9qLsbg&s=19 Angalizo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
10 Reactions
78 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,685
Posts
49,638,326
Back
Top Bottom