Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
1 Reactions
30 Replies
209 Views
Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo. Leo Simba imepata point...
1 Reactions
3 Replies
39 Views
Zaidi ya wiki inaisha mfumo wa polisi uko down sijui umezidiwa na watumiaji au server ndio tatizo huyu waziri wa robot atoe msaada wake
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata. Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje...
5 Reactions
33 Replies
426 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
19 Reactions
121 Replies
3K Views
Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3...
5 Reactions
20 Replies
646 Views
Wadau hamjamboni nyote? Naomba mwenye taarifa zozote kuhusu kinachodaiwa kumpatia Mkuu wa Kanisa la Methodist tanzania askofu bundala atujuze Askofu Joseph bundala pia ni makamu Mkuu wa Kanisa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
6 Reactions
34 Replies
889 Views
Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi ... 1BR Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo. Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
1 Reactions
6 Replies
124 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,656
Posts
49,637,322
Back
Top Bottom