Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
Naitwa isaya mtewele kwa sasa napatikana ifakara najishughulisha nakupoint mchele kutoka hapa ifakara kwenda dar kwa mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0719003163
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo.
Leo Simba imepata...
Kwa yanayoendelea ndani ya siku moja kufutiwa nyuzi au kubadilishiwa content ili zisound kama za mwijaku na mama anaupiga mwingi hapa JF hakika hatuna chetu tena nimelia sana.
Ule uzi jf ni chombo...
News outlets zote zilikuwa busy ku report habari za vikao vya Chadema. Kila news outlet iliandika ilichokuwa inakifikiria. mara wamepigana, mara Lisu kawekwa kitimoto, mara hili na lile etc etc...
Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke
Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.