Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Daaaaahh, so sad ! Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa? Ili afedheheke katika jamii? Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele...
2 Reactions
13 Replies
149 Views
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana. Amesema Chi zote Zenye...
6 Reactions
67 Replies
885 Views
Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2. Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii...
19 Reactions
29 Replies
567 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
15 Reactions
73 Replies
1K Views
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki. Sote tunaishi kwenye jamii...jamii ambayo imejaa watu wenye mitazamo, maoni na utashi tofauti tofauti. Katika ya jamii hiyo ambayo tupo kunazaliwa...
3 Reactions
2 Replies
208 Views
Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
1 Reactions
12 Replies
96 Views
Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee...
14 Reactions
50 Replies
887 Views
Haloo is me "Mr. Liverpool" again. Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja.. INTRODUCTION Mimi ni kijana mwenye miaka 32. Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara. Ni mwajiriwa wa...
5 Reactions
106 Replies
6K Views
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
6 Reactions
98 Replies
488 Views
UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR Dar es Salaam, 17 Mei 2024: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika...
1 Reactions
17 Replies
450 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,643
Posts
49,636,921
Back
Top Bottom