Mawasalimia kwa jina la jamhuri.
Leo nimeona nilete uzi mdogo hapa kwenu kwa swali nililoliwaza sana.... Kwanini waafrika wengi tunapenda lalamika? Hapo awali nilidhani tatizo ni umaskini, ila...
Hello....
Habari za muda huu.
Je, huyu ni wewe?
Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano.
1...
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-
Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?
Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya...
Habari zenu wakuu, ni jioni sasa, akili yangu inaniambia wacha nishee nanyi Watanzania wenzangu kitu kimoja kuhusu kusave pesa ili kuweza kufikia uhuru wa kiuchumi na kutimiza ndoto zetu iwe...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Hii ni salamu kwa viongozi wa Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Moshi kwamba muonyeni kada wenu na diwani mstaafu wa Kata ya Kiusa,Steven Ngassa,aache ujanjaunja wa mjini,atafute...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato...
Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CHADEMA, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake.
Kwa kweli Chadema hongereni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.