Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
MBUNGE MARTHA MARIKI Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma
"Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
Wadau natumaini mko njema kabisa.
Heri ya Jumapili kwenu nyote.
Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake.
Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za...
Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa...
Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja na hadi sasa timu zote zimesaliwa na michezo 3 pekee kutamatika kwa ligi kuu msimu...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.