kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
Habari zenu kwa ujumla
Nimekuwa nikiota ndoto zinazofanana fanana.
Iko hivi mimi naishi Dodoma, ila ni mwenyeji wa Lindi. Nimezaliwa huko na kusoma huko mpaka secondary. Chuo nikatoka kwenda...
David Kafulila anawaza kurudi bungeni baada yakukaa benchi kwa muda mrefu. Anawaza kurejea kwenye ulingo wa siasa baada ya CCM kumficha kwenye majukumu yasiyo ya kisiasa.
Lakini mbinu anazotumia...
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”.
Sasa Humo Bungeni anafanya nini?
Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.