Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake...
7 Reactions
38 Replies
440 Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
19 Reactions
116 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
3 Reactions
41 Replies
276 Views
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
13 Reactions
140 Replies
6K Views
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
3 Reactions
28 Replies
633 Views
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
92 Reactions
2K Replies
533K Views
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda...
1 Reactions
13 Replies
150 Views
Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
4 Reactions
60 Replies
788 Views
Bila shaka kijana Millard Ayo kapitia thread hii Zijue Nyimbo zilizotengezwa na producer Miika Mwamba akaona haja ya kumtafuta na kumfanyia mahojiano.. Never underestimate the Power of JF. Safi...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto. Pia itachunguza...
0 Reactions
2 Replies
30 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,389
Posts
49,630,512
Back
Top Bottom