Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka...
Habari wanajamvi.
Samahani nina kiwanja kina ukubwa wa 2430 square meter.
Nataka nijenge uzio ambao ni standard, namaanisha uwe na urefu toshelezi.
Msingi una urefu wa futi mbili kutoka...
Nikiwa kama shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba sc ,nathubutu kusema kwa kinywa kipana kuwa Yanga atatwaa tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024.
Naitazama Yanga kwa jicho la...
Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.