Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nyumba ipo Goba kwa Robert, * Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake . *Ina Spanish tiles. *madirisha ni pvc *ina fence *ina vyoo (toilets) 5 ...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
11 Reactions
76 Replies
1K Views
Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
7 Reactions
110 Replies
2K Views
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida, Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
5 Reactions
50 Replies
860 Views
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
1 Reactions
3 Replies
19 Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari Jamii! Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati...
0 Reactions
8 Replies
130 Views
Mambo vipi wanandugu. Nimekaa na kutafakuri Sana. Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu. Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana...
5 Reactions
38 Replies
441 Views
Kutokana na mavuno makubwa ya mpunga msimu huu tunaiomba Serikali inunue mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki. Kuna wafanyabiashara toka Kenya na Uganda tayari wameingia katika Mikoa ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,296
Posts
49,628,069
Back
Top Bottom