Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hey pals it's len again, I know ni usiku lakini nataka kushare hi experience, I'm going through series of heart breaks right now and if I ever fail in life it's not me Iam failing but my beloved...
4 Reactions
39 Replies
261 Views
Kama kichwa kinavyosema nauza dume la kisasa ambae ndio ananza kupanda, amepatikana kwa njia ya chupa. Bei: 700,000 Location: Dar es salaam
2 Reactions
3 Replies
112 Views
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo. Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
6 Reactions
31 Replies
823 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
126K Views
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye...
19 Reactions
78 Replies
949 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika...
3 Reactions
40 Replies
804 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
30 Reactions
308 Replies
6K Views
Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa. Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani? ======= "Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1)...
3 Reactions
29 Replies
573 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
76 Reactions
469 Replies
14K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,154
Posts
49,624,053
Back
Top Bottom